Find out More About AICT Diocese Of Tabora
Diocese of Tabora Story

Africa Inland Church Tanzania (AICT), Diocese of Tabora was born on October 8, 2006 in a football stadium in Tabora town. On that Sunday, Rev Silas Kezakubi was ordained as the first bishop of that diocese. Positioned in an expanse of 181,825 square kilometers (about 70,184 square miles), with about 80 small congregations dispersed allover, most of them in rural and meeting in makeshift buildings, this was a real mission field.. ...
View MoreNeno Kutoka kwa Askofu

Neno la Mungu linabainisha kuwa kanisa ni mwili wa Kristo (Efe 1:22-23). Maana yake ni kwamba mahali lilipo kanisa la kweli hapo hapo Kristo yupo. Yeye ni mtawala wa mioyo ya wakristo wa kweli ndani ya kanisa na anaonekana katika jamii kupita maisha yao. Yuko tayari kuihudumia jamii na wanadamu kupitia kanisa. Hivyo shughuri ya kuanzisha kanisa katika jamii ambamo hakuna kanisa ni kushiriki katika tendo la Kristo kushuka na kuja kuishi katika jamii. Jambo hilo ni nafasi ya pekee na muhimu ya kumtumikia Bwana.
Siyo wakristo wengi, au hata watumishi wengi, waliojaliwa binafsi fursa ya kushiriki katika tendo la Kristo kushuka katika jamii mpya. Lakini wale ...
View MoreLatest News
Photo Albums
Latest Social Services
Find Us on Facebook
Contact Details
AFRICA INLAND CHURCH TANZANIA :DIOCESE OF TABORA,
P.O BOX 1286 TABORA, TANZANIA, EA.
:
+255754462221 / +255767446590
: aict.tabora@gmail.com