About AICT Diocese Of Tabora

VISION/MAONO

TO SEE THE COMMUNITY OF OUR TABORA DIOCESE OVERCOME THEIR SPIRITUAL PHYSICAL, EDUCATIONAL AND ECONOMICAL POVERTY. KUONA JAMII ILIYO KATIKA DAYOSISI YA AICT TABORA IKISHINDA UMASKINI WAKE WA KI-ROHO, KI-MWILI NA KI-UCHUMI.

MISSION/DHIMA

HELPING THE COMMUNITY OF OUR TABORA DIOCESE OVERCOME THEIR SPIRITUAL, PHYSICAL, EDUCATIONAL AND ECONOMICAL POVERTY.
KUIWEZESHA JAMII ILIYO KATIKA DAYOSISI YA AICT TABORA KUSHINDA UMASKINI WAKE WA KI-ROHO, KI-MWILI NA KI-UCHUMI.

OBJECTIVES/MALENGO
1. "TO EVANGELIZE OR TO REACH THE UNREACHED PEOPLE AND PLANT CHURCHES
"KUHUBIRI INJILI, KUWAFIKIA WATU WASIOFIKIWA BADO, NA KUPANDA MAKANISA"

2. "STRENGTHENING CHURCHES" "KUIMARISHA MAKANISA"

3. "TO BRING HEALTH EDUCATION, HEALTH CARE AND SOCIAL SERVICES TO THE COMMUNITY"
"KULETA AMA KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII: ELIMU, HUDUMA ZA AFYA, N.K"

4. "TO ENSURE CHILDREN AND YOUTH ARE BEING EDUCATED"
"KUHAKIKI WATOTO NA VIJANA WAMEPATA ELIMU"

5. "TO HELP OUR COMMUNITY TO IMPROVE THEIR ECONOMICS STATUS"
"KUIWEZESHA JAMII YETU KUJIKWAMUA KI-UCHUMI".