• " Efe 2:10 : Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo."
  • " Gal 5:22 : Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu"
  • " Yer 29:11 : Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho."
  • " Oba 1:15 : Kwa maana hiyo siku ya BWANA i karibu juu ya mataifa yote; kama ulivyotenda, ndivyo utakavyotendwa; malipo yako yatakurudia juu ya kichwa chako mwenyewe."
  • " Mt 6:33 : Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa."
  • " Rum 12:2 : Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu."
  • " Flp 4:6 : Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu."
  • " Kol 3:16: Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu."
  • " Yeremia 33:3 Niite nami nitakuitikia na kukuonyesha mambo magumu unayoyajua na usiyoyajua."
  • Home
  • About Us
  • Our Staff
    • Project
    • Diocese
    • Missions and Training
  • Administration
    • Administration Structure
    • Word From Bishop
    • Press Release
    • Social Services
  • Departments
    • Christian Education
    • Education
    • Evangelism
    • Finance
    • Human Resource
    • Social Services
    • Women
    • Youth
  • Media
    • News
    • Albums
    • Videos
  • Partners
  • Contact Us

Evangelism

ABOUT US

WHAT WE DO

PROGRAMS

CONTACTS & LOCATION

Find us On Facebook

Our Partners

  • Africa Inland Mission Canada
  • Africa Inland Mission USA
  • Community Bible Studies (CBS) International
  • HILFE FUR BRUDER GERMANY
  • PACT TANZANIA
  • AVANT MINISTRIES
  • INTERNATIONAL COMPASSION TANZANIA
QUICK LINKS
  • Home
  • About Us
  • Departments
  • Partners
  • Contact Us
ADMINISTRATION
  • Administration Structure
  • Our Staff
  • Word From Bishop
  • Press Release
OUR PARTNERS
  • INTERNATIONAL COMPASSION TANZANIA
  • AVANT MINISTRIES
  • PACT TANZANIA
View All
Find us on:
Call us on:

+255754462221 / +255767446590

© 2022 Copyright Tabora Diocese

  • Powered by Ufanisi Africa