" Efe 2:10 : Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo."
" Gal 5:22 : Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu"
" Yer 29:11 : Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho."
" Oba 1:15 : Kwa maana hiyo siku ya BWANA i karibu juu ya mataifa yote; kama ulivyotenda, ndivyo utakavyotendwa; malipo yako yatakurudia juu ya kichwa chako mwenyewe."
" Mt 6:33 : Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa."
" Rum 12:2 : Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu."
" Flp 4:6 : Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu."
" Kol 3:16: Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu."
" Yeremia 33:3 Niite nami nitakuitikia na kukuonyesha mambo magumu unayoyajua na usiyoyajua."
Home
About Us
Our Staff
Project
Diocese
Missions and Training
Administration
Administration Structure
Word From Bishop
Press Release
Social Services
Departments
Christian Education
Education
Evangelism
Finance
Human Resource
Social Services
Women
Youth
Media
News
Albums
Videos
Partners
Contact Us
Child and Youth Development Centre - AICT Kitete Photos
QUICK LINKS
Home
About Us
Departments
Partners
Contact Us
ADMINISTRATION
Administration Structure
Our Staff
Word From Bishop
Press Release
OUR PARTNERS
INTERNATIONAL COMPASSION TANZANIA
AVANT MINISTRIES
PACT TANZANIA
View All
Find us on:
Call us on:
+255754462221 / +255767446590